Trusted Seller / Wauzaji waliothibitishwa


Wauzaji waliothibitishwa na Impala

Wauzaji waliothibitishwa ni wauzaji ambao Impala Technologies Company Ltd imefanya utafiti yakinifu na kuhakikisha kuwa biashara zao ni halisi na wana maduka yenye leseni.

Wauzaji waliothibitishwa wana alama ya tick ya blue kwenye profile ya store zao kwa juu

( ).